mkuu nafaka zinatofautiana maana kuna, mpunga, mahindi, maharagwe,
mtama, uwele, ngano, soya, etc, sasa ni nafaka zipi utahitaji kuzinunua?
utaenda kununua kwa njia ya kukopesha wakati wa kulima ili upate mavuno baadae?
au utasubiri kipindi cha mavuno?
jiulize ni sehemu zipi za Tz unategemea kwenda kununua??
Soko lako litakuwa wapi?
ni wewe mwenyewe unategemea utaifanya hii kazi au utaajiri watu/agents?
usafirishaji je utakodi au unao binafsi?
0 comments:
Post a Comment